Huyu ndio Amani Kilonzi a.k.a Fazza G,jamaa ki ukweli ndie aliye wasaidia TMK Mjita kufika hapo walipo,alikuwa ndio mweka mpunga wa kundi hilo na ndie aliye sababisha mambo mengi mazuri katika kundi hilo,kundi la Majita linamweshimu sana jamaa huyu,kwa habari nyepesi tulizo nazo ni kuwa jamaa kwa sasa anafanya kazi na shirika moja la mikopo hapa Tanzania lakini katika tai la Arusha na tayari ameshapata jiko(ameoa)
Facebook Badge
FAZZA G THE FOUNDER
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WANAUME FAMILY B4 HAWAJA SEPARATE

Jamaa walikuwa poa sana lakini mwisho wao nao ulifika basi kila mmoja akijichenga kivyake ila jamaa walitaka kujaribu mziki wa Majita TMK
NDIO ZETU KUWAKIMBIZA

- TMK MAJITA ORIGINAL
- DAR ES SALAAM, TEMEKE, Tanzania
- KUNDI LA TMK MAJITA ORIGINAL,LILIANZISHWA MIAKA SABA ILIYOPITA PALE MAENEO YA KEKO FLATS,KUNDI LILIANZA NA WASANII KUMI,LAKINI TULIFANYA MCHUJO MPAKA WAKABAKIA WASANII SITA.MPAKA SASA TUNA ALBUM MOJA INGAWA HAIJAINGIA SOKONI LAKINI BAADHI YA NYIMBO ZIMESHATOKA RADIONI.WAJUE WASANII WA TMK MAJITA ORG:-ENO K,FRED FID,SOULDIER,KINDAGO,JOSE A.K.A KAMOJA NA DIBWIZZLE
SAUTI ZA BUSATA YARUDI TENA
BASHAM
2 PAC & B.I.G

Hivi hawa jamaa wangekuwepo mpaka leo ingekuwaje?pliz ebu tunaomba maoni yako
EAST COAST TEAM (ECT)

Jamaa walichengua sana katika anga la mziki wa kibongo lakini mmmhhhh sijui shetani alitoka wapi tena mna aliwamega wao walio imba ama zangu ama zao ila ni mzuka sana kama watakuwa tena pamoja
TMK MAJITA KUPAGAWISHA CHANIKA

Kundi zima la TMK MAJITA ORIGINAL linategemea kufanya show ya kufa mtu katika kusherehekea sikukuu ya X Mass kule chanika katika ukumbi wa BUTIAMA VILLA siku ya Ijumaa tarehe 25/12/2009 kiingilio ni sawa na bure,wakubwa ni buku 3000 tu na kutakuwa na disco toto kwa kiingilio cha Tsh 1000 tu wasanii kibao kutoka pande hizo watapamba jukwaa,nyote mnakaribishwa
No comments:
Post a Comment