Ilikuwa ni siku ya furaha sana kwa Enock & Dorice
TMK MAJITA ORIGINAL
WAZEE WA MISUMALI
Facebook Badge
TUMERUDI TENA
Hello,
Ni mda mrefu tangia tumekuwa kimya katika update ya blog yetu na hata mambo yetu kama TMK Majita lakini kuanzia sasa tumerudi upya na kila siku utakuwa unapata mambo mapya kutoka katika page yetu
SIR NATURE APOTEZA MBAYA NDANI YA FIESTA
VIDEO MPAYA YA BABY GIRL IPO HEWANI.TUKIONGEA NA UONGOZI WA MAJITA ULISEMA KUWA VIDEO IMESHAANZA KURUSHWA KATIKA VITUO MBALI MBALI VYA TELEVISION HAPA NCHINI.PIA UNAWEZA KU-DOWNLOAD NYIMBO YA BABY GIRL FOR FREE YAANI BILA MALIPO
http://www.sendspace.com/file/qjw1y8 BABY GIRL AUDIO TRACK
http://www.sendspace.com/file/qjw1y8 BABY GIRL AUDIO TRACK
HAYA NDIO MAISHA SASA AU SIO JOHN?
Naona hapa John kawinga akiwa na kifaha chake alichofunga nacho pingu za maisha,huuu ndio mpango mzima vijana
KIJANA INNOCENT SHIO KATIKA POZI LA MAUZO
Uza kijana mana maisha yenyewe ni mafupi.Jamaa ukitaka kumpata we chart na wazee wa mujini utampata tu
Jamaa jina lake anaitwa Ipupa Nsimba aka fally ipupa aka “DiCaprio” aka “La Merveille” alizaliwa pale Kinshasa mnamo Desemba 14 1977.Ni mwimbaji na ni mpiga Guitar mwenye kipaji cha hali ya juu sana.Alikuwa ni mmoja wa wasanii wa kundi la Quartier Latin kwa takribani miaka 10 alikuwa akifanya kazi zake na Koffi Olomide.Ametengeneza nyimbo kadhaa zilizo hit akiwa na Koffi moja wapo ni Eternellement on Force de Frappe ya mwaka 2001 et Ko Ko Ko Ko on Affaire d’Etat.Aliachia album yake ya kwanza iliyoitwa Droit Chemin ambayo iliuza zaidi ya copies 100,000.
Jamaa amefanya ngoma moja kali zana na Olivia wa G Unit inayoitwa Arsenal de Belles Mélodies ngoma imekamata si kitoto,pia unaweza kumcheki hapa http://www.fally.cd
Facebook Fally Ipupa’s Official Page
Rick Ross and Floyd Mayweather sqaush the beef
The history of Hip Hop has come to create countless beefs, but there are rarely instances where peace treaties are created, at least peace that is meant to stay permanent.
After constant verbal sparring in 2009 and even a Kodak moment with kids, Rick Ross and Floyd Mayweather Jr. have finally decided to put their issues to the side and dead the beef.
Word, rappers are trying to take the higher route in 2010, who would have ever thought the day would come. Applause.
During an interview with MTV, the boss spoke on how a meeting between the two ended recently.
“Yeah, bumped into Floyd Mayweather. Most definitely. We chopped it up like G's and after a discussion, we shook hands. So that's squashed. “
He added that 2010 has brought about some new changes that he was willing to make .
"It's a new year, it's time to get new money. Y'all know what it is. I kept it 1,000.”
So, does that mean that Ross could find a way to iron out the wrinkles of his “relationship” with 50 Cent, or has that situation already reached the point of no return
Rumors have recently surfaced regarding adult film star Jazmine Cashmere's pregnancy and the father of her unborn child. Speculation has suggested that rapper Jay-Z is the father of Cashmere's baby. While admitting that she was indeed six months pregnant, Cashmere set the record straight via Twitter, revealing that Jay was not the father of her baby. Other rappers including Diddy and 50 Cent have been named as possible fathers of the porn star's baby. Cashmere insists however, that the father of her child is not a New York rapper.
Kelis Claims Nas Owes $200,000 in Unpaid Support
According to several reports, Kelis has filed paperwork against estranged husband Nas stating that he owes over $200,000 in child and spousal support. However, Nas has plead not guilty to contempt of court. TMZ reports that the actual contempt hearing will take place sometime in March. If convicted, Nas could indeed receive jail time.
Definitely not a good look. We'll keep you updated as this story progresses.
Subscribe to:
Posts (Atom)
WANAUME FAMILY B4 HAWAJA SEPARATE
NDIO ZETU KUWAKIMBIZA
- TMK MAJITA ORIGINAL
- DAR ES SALAAM, TEMEKE, Tanzania
- KUNDI LA TMK MAJITA ORIGINAL,LILIANZISHWA MIAKA SABA ILIYOPITA PALE MAENEO YA KEKO FLATS,KUNDI LILIANZA NA WASANII KUMI,LAKINI TULIFANYA MCHUJO MPAKA WAKABAKIA WASANII SITA.MPAKA SASA TUNA ALBUM MOJA INGAWA HAIJAINGIA SOKONI LAKINI BAADHI YA NYIMBO ZIMESHATOKA RADIONI.WAJUE WASANII WA TMK MAJITA ORG:-ENO K,FRED FID,SOULDIER,KINDAGO,JOSE A.K.A KAMOJA NA DIBWIZZLE