TMK Majita Original wakiwa katika pozi la picha kali,kundi hilo linategemea kuifanyia video ngoma yao mpya siku ya J3 ngoma hiyo ambayo tayari ipo katika masikio ya watu na sasa inakuwa kideoni,dude hili inayoitwa BABY GIRL.Pia Uongozi wa Majita ulisema kama kuna warembo wangependa kuonekana katika video hiyo basi wawasiliane na Uongozi kwa namba 0714 685515 au 0718 218067
Facebook Badge
WANAUME FAMILY B4 HAWAJA SEPARATE
NDIO ZETU KUWAKIMBIZA
- TMK MAJITA ORIGINAL
- DAR ES SALAAM, TEMEKE, Tanzania
- KUNDI LA TMK MAJITA ORIGINAL,LILIANZISHWA MIAKA SABA ILIYOPITA PALE MAENEO YA KEKO FLATS,KUNDI LILIANZA NA WASANII KUMI,LAKINI TULIFANYA MCHUJO MPAKA WAKABAKIA WASANII SITA.MPAKA SASA TUNA ALBUM MOJA INGAWA HAIJAINGIA SOKONI LAKINI BAADHI YA NYIMBO ZIMESHATOKA RADIONI.WAJUE WASANII WA TMK MAJITA ORG:-ENO K,FRED FID,SOULDIER,KINDAGO,JOSE A.K.A KAMOJA NA DIBWIZZLE
No comments:
Post a Comment